Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dkt. Terezya Huvisa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani itayofanyika Juni 5 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment