Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya NMB Bw. Imani Kajula (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa huduma mpya na promosheni ya 'Jenga Maisha yako na NMB', itayowawezesha wateja wote watakaofungua akaunti na kuongeza amana kwenye NMB Bonus watajishindia tani 1 ya saruji na zawadi mbalimbali. Kushoto ni Meneja Masoko , Bw. Shilla Senkoro na Meneja Amana. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment