11 June 2012

BOB MAKANI KUAGWA LEO KARIMJEE


Mbunge wa Maswa Mashariki, Bw. John Shibuda (kushoto), akiteta na familia ya aliyekuwa Mwasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Marehemu Bob Makani, nyumbani kwake Mbezi Beach, Dar es Salaam jana. Maremu aliyefariki kwenye Hospitali ya Aga Khan juzi, atasafirishwa leo jioni kwenda Kishapu, mkoani Shinyanga. (Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment