Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza Quinton Fortune, akipiga mpira kuashiria uzinduzi rasmi wa michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Uzinduzi huo ulifanyika jana, kwenye Hoteli ya Sea Clif, jijini Dar es Salaam.(Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment