02 May 2012

TFTDA-katika sherehe za Mei Mosi

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA)
wakiwa katika maandamano ya Mei Mosi katika Viwanja vya Mnazi Mmoja  Dar Salaam jana, ambapo zilifanyika kimkoa.  (Picha na Heri Shaaban)


No comments:

Post a Comment