14 May 2012

MADAI YA ASKARI


Baadhi ya askari  wa Manispaa ya Ilala wakitoka Viwanja vya Arnatoglou, Dar es Salaam jana, baada ya kumsubiri bila mafanikio Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, askari hao wanadai malipo ya mikataba iliyomalizika, kabla ya kusaini mikataba mipya  (Picha na Prona Mumwi)

1 comment:

  1. kweli nchi yetu inaelekea pabaya yani paka wale wanaolinda usalama wa raia hawajalipwa mishahara yao.Sio mchezo hii sio nzuri hata kidogo jamanitunaelekea wapi.

    ReplyDelete