24 May 2012

AJALI BUZA


Wasamalia wakimsaidia mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi Buza, Prisca Abraham, aliyegongwa na lori Mitsubishi Fuso, wakati alipokuwa akivuka barabara eneo la Buza Kanisani, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam jana. Wakazi wa eneo hilo wameshauri manispaa iweke matuta na alama za ' Pundamilia'  zitakazowawezesha kuvuka kwa usalama.  (Picha na Emanuel Godfrey)

No comments:

Post a Comment