16 March 2012



Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF),Bw. Godfrey Sembeye akizungumza na Meneja Mradi wa Kubadilika Kibiashara,Bw. Sosthenes Sambua (kulia) baada ya semina ya siku mbili ya wafanyabiashara ndogo ndogo kutoka mikoa ya Tanzania.Kushoto na Bw. Gilliard Nkini.(Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment