Meneja Miradi wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Mhandisi, John Msemo (wa tatu kulia) akifafanua jambo
wakati wa ziara ya kuangalia mipaka ya barabara kabla ya
kukabidhi rasmi mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni kwa
kampuni ya CRJE uliofanyika Kurasini jijini Dar es Salaam
jana. Kulia ni Mhandisi, Lumeya M. Kasambaganya, Mhandisi
wa Kampuni ya Norplan, Mussa Nyamsingwa na Kushoto ni
Mhandisi Mkuu wa Kampuni inayojenga daraja hilo ya CRJE,
Zhou Zejun.
No comments:
Post a Comment