JK
Rais Jakaya Kikwete (aliyeshika sepeto), akijaza mchanga kwenye chekecheo, kwa ajili ya kuuchuja na kufyatua matofali ya kisasa, alipofika kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380, kutoka Wilaya zote za mkoa wa Pwani, iliyoko Msoga, Wilayani Bagamoyo jana. (Picha na Ikulu)

No comments:
Post a Comment