02 December 2011

Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Rais Mstaafu wa Marekani Bw. George W. Bush kwa sera nzuri za serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hususan zinazofanyika kudhibiti magonjwa ya malaria, Ukimwi na saratani, walipokutana Ikulu Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment