02 December 2011

Mshambuliaji wa Uganda Emmanuel Okwi (kushoto), akiwania mpira na beki wa Burundi Kaze Gilbert katika mechi ya michuano ya Tusker Chalenji, iliyochezwa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Burundi ilishinda mabao 1-0.

No comments:

Post a Comment