| Meneja wa Kitengo cha M-Pesa Kanda ya Pwani wa Vodacom Tanzania Bi. Nabwike Kibona (kushoto) akimuandalia chai Bw. Ramadhani Abdalah ambae ni mtoto yatima anayelelewa katika kituo cha Mwana Orphans Centre cha Vingunguti, Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Share and Care inayofanyika kila mwisho wa mwaka kuwasaidia mahitaji ya watoto yatima wakati wa sikukuu za krismas na mwaka mpya. |
No comments:
Post a Comment