01 December 2011

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia), akikaribishwa na Balozi wa Tanzania, nchini Burundi, Dkt. James Mwasi (aliyemshika mkoni) kufunga Mkutano wa Nchi za Maziwa Makuu, uliojadili Uendelezwaji wa Ukanda wa Ziwa Tanganyika, kwenye ukumbi wa Golf, Bujumbura Burundi jana.

No comments:

Post a Comment