05 December 2011

Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Bw. Paul Chizi (aliyeketi), akiongea na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, wakati wa hafla ya uzinduzi wa sare mpya za wahudumu wa ndege za shirika hilo.

No comments:

Post a Comment