01 December 2011

Aloyce Joseph (kushoto) na Daniel Ngowi wakiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro, walipoipandisha bendera ya taifa ikiwa ni kilele cha Kampeni ya Kilimanjaro Jivunie uTanzania, iliyokuwa ikiendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, ili kusherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment