23 November 2011

Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Januari Makamba (kulia), Kapteni Mstaafu John Chiligati (katikati) na Bi. Sofia Simba wakizungumza jambo, kabla ya kuanza kikao kwenye Ukumbi wa White House Makao Makuu ya Chama hicho mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment