11 November 2011


Mwili wa mtu asiyefahamika jina  na makazi yake, ukining'inia kwenye nyaya za  umeme, baada ya kunaswa wakati akijaribu kuiba mafuta ya transifoma jijini Mwanza juzi. (Na Mpigapicha Wetu)

3 comments:

  1. mshahara wa dhambi ni ........

    ReplyDelete
  2. Hii itakuwa fundisho kwa wengine!

    ReplyDelete
  3. NI FUNDISHO KWA SERIKALI YETU.... VIONGOZI WETU HAWAJALI NCHI+ WANANCHI.

    ReplyDelete