Waziri wa Maliasili na Utalii Bw. Ezekiel Maige (wapili kushoto), akiangalia moja ya Bunduki zinazoruhusiwa kwa ajili ya uwindaji wanyamapori, aliposhiriki kwenye mahafali ya 46, mkoani Kilimanjaro juzi. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Chuo cha Uhifadhi Mweka, Profesa Feetham Banyikwa. (Picha na Tulizo Kilaga)
No comments:
Post a Comment