Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Dionis Malinzi kushoto akimkabidhi Bendera ya Taifa nahodha wa timu hiyo Henry Josseph Dar es Salaam juzi kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya timu ya Taifa Chadi mechi itakoyofanyika nov.15 mwaka huu Djamen.Kulia ni Kocha Mkuu Jan Polsen.(Picha na Zuberi Mussa)
No comments:
Post a Comment