Beki wa timu ya vijana ya Simba, Omari Kheri (kushoto) akiwania mpira wa juu na kiungo wa Toto Africa Severine Faustine, wakati wa mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Uhai iliyochezwa Uwanja wa Karume Dar es Salaam jana. Simba ilishinda mabao 4-1. |
No comments:
Post a Comment