Ris Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akijaza fomu ili kupata kadi mpya ya Debit Master Card ya Benki ya NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni. Kadi ya Debit Master Card ilizinduliwa na benki hiyo Oktoba 18 mwaka huu. Wanaomsaidia Rais kutoka kushoto ni Meneja wa NBC Tawi la Corporate, Bi. Jacqueline Sindano, Mkuu wa Shughuli za Kibenki, Bw. William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Bw. Emmanuel Mseti. |
Hivi huyu muheshimiwa sana hajui kama kwa kuonyesha tu hizo picha basi anaitangaza hiyo NBC Debit Master card??? Huyu mkwere sijui punguani au ana ubia humo NBC??
ReplyDelete