30 September 2011

.................................................

Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Balozi wa Vatican anayemaliza muda wake wa kazi nchini, Askofu Joseph Chennoth alipomtembelea Rais Ikulu Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga. Askofu Chennoth amefanya kazi nchini kwa kipindi cha miaka sita. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment