12 September 2011

.......................................................

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji  na kuwapongeza wananchi wa kijiji cha Nungwi kwa juhudi zao za kujitolea kuwaokoa watu waliopata ajali katika meli ya MV.Spice Islanders iliyotokea juzi usiku. Meli hiyo ilikuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba amapo watu zaidi ya 200 wanahofiwa kufa maji. Abiria 602 wameokolewa wakiwa hai.

No comments:

Post a Comment