20 September 2011

.................................................

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora; Bw. Mathias Chikawe (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa Taasisi za Biashara za Kiraia (TPSF), Bi. Esther Mkwizu, ripoti ya Majadiliano ya Jukwaa la Kutokomeza Rushwa ya Biashara inayojulikana kama “Bishara bila Rushwa Inawezekana”, Dar es Salaam jana.  Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uwezeshaji na Uwekezaji; Dkt. Mary Nagu.

No comments:

Post a Comment