06 September 2011

.......................................................

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau (kulia), cheti cha mchangiaji bora wa Sekta ya ujenzi kwa wazawa, wakati akifungua mkutano wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli.

No comments:

Post a Comment