Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Ghalib Bilal (kushoto) akisikiliza maelezo ya Meneja Mkuu Mkoa wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), Mhandisi Abdallah Shekimweri (wa pili kushoto) wakati wa maonesho yaliyoambatana na maadhimisho ya miaka 35 ya mamlaka hiyo na miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Miundombinu, Mhandisi Abdallah Omari Nundu na Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Bw. Damas Ndumbaro |
No comments:
Post a Comment