Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) akiangalia mwanafunzi Hanifa Hamisi wa Shule ya Msingi, Ali Hassani Mwinyi wakati akiwasha kompyuta kwenye uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Naibu wake, Bw. Philipo Mulugo na Mwalimu wa shule hiyo, Bi. Amina Chumu. |
No comments:
Post a Comment