Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu uvamizi wa ardhi na mabadiliko holela ya matumizi ya ardhi katika miji mbalimbali nchini. Kushoto ni Naibu wake, Bw. Goodluck Ole Medeye. |
No comments:
Post a Comment