09 September 2011

...................................................

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Bw. Ahmad Kilima (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema, moja ya kamera tatu za video zenye thamani ya sh. milioni 11 kwa ajili ya ufuatiliaji wa masharti ya leseni za usafiri wa barabara katika sherehe zilizofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Alhaj Suleiman Kova na Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini, Bw. Mohamed Mpinga.

No comments:

Post a Comment