08 September 2011

.......................................................

Askari Polisi wa Kituo cha Oysterbay, Dar es Salaam wakiwa wamewakamata na kuwaweka ndani ya gari namba PT 2118 watu wanaodaiwa kuwa 'Vishoka',  wanaotapeli wananchi nje ya Ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Msasani, wakidai ni wafanyakazi wa shirika hilo jana.

No comments:

Post a Comment