20 September 2011

....................................................

Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda akiteta na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili nyumbani kwake, Mwitongo; Butiama akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba juzi.

1 comment:

  1. Hivi kwa nini hatumuiti mama Maria mama wa taifa? Naamini anayo hadi hiyo. Basi tuanze kumuita MAMA WA TAIFA.

    ReplyDelete