23 September 2011

.................................................

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Shear Charity Ball, Shekh Nasser (kushoto) akiwa katika mkutano wa mwisho na baadhi ya wadhamini waliojitokeza katika kusaidia kinamama wenye matatizo ya fistula katika Hospitali  ya CCBRT, Dar es Salaam jana. Kamati hiyo pia itafuatilia ukarabati wa mfumo mzima wa maji safi na maji taka katika hospitali ya Amana. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Serengeti, Bw. Imani Lwinga.

1 comment:

  1. pICHA HAIENDANI NA HABARI MLIZOANDIKA. WEE MHARIRI VIPI? TENA KWENYE FRONT PAGE!

    ReplyDelete