Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Chiku Galawa, akizungumza na wauguzi wa Hospitali ya Temeke, wakati akipokea vitanda 10 vilivyotolewa msaada na Benki ya Akiba (ACB) Dar es Salaam jana ,ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa tawi jipya la Tandika. Kulia ni Meneja Mkuu Operesheni wa benki hiyo Bi Juliana Swai. |
No comments:
Post a Comment