Katibu wa Kamati Maalumu ya Kudhibiti na Kuboresha Mapato ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Deo Lyatto (kulia) akionesha ripoti yenye taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Leodeger Tenga na Mjumbe wa Kamati, Kanali Mstaafu Iddi Kipingu. |
No comments:
Post a Comment