07 September 2011

.......................................................

Mbunge wa Ubungo, Bw. John Mnyika akichangia hoja kwenye mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile, Diwani wa Viti Maalum Temeke, Bi. Amina Yakubu na Diwani wa Kata ya Hananasif, Bw. Tarimba Abbas.

No comments:

Post a Comment