Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka(DAWASCO), Bw. Jackson Midala(kushoto) akizungumza katika mkutano Dar es Salaam jana na baadhi ya wakazi wa Jimbo la Ubungo wakiongozwa na Mbunge wao, Bw. John Mnyika(Wa pili kushoto aliyekaa) walipokuja kutaka kupatiwa ufumbuzi wa kadhia ya muda mrefu ya maji. |
No comments:
Post a Comment