13 July 2011

.

Dereva aliyetambulika kwa jina ya Hussein Hamis jana alinusurika kifo baada ya lori Scania namba T164 AFY alilokuwa akiendesha kutoka Tabata kwenda Temeke kuwaka moto maeneo ya Buguruni, Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo hakikufahamika mara moja ingawa ilidaiwa ni hitilafu katika mfumo wa umeme wa gari hiyo.

No comments:

Post a Comment