21 November 2010

Wadaiwa kuchanga fedha kumwangusha ngombea.

Na Benjamin Masese, Rorya

WAKATI mchakato wa kuwatafuta mameya na wenyeviti wa halmashauri mbalimbali ukianza nchini kote, baadhi ya watumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Rorya wanadaiwa kuchanga fedha kwa
ajili ya kumchangia mmoja ya wagombea wa nafasi hiyo kama mkakati wa kukabiliana na mwenyekiti aliyemaliza muda wake ambaye pia anatetea nafasi hiyo.

Habari kutoka katika moja ya vikao vya kukusanya michango hiyo ambayo vimekuwa vikifanyika katika mji mdogo wa Shirati wilayani Rorya zimedai kuwa hadi kufikia
juzi Ijumaa tayari sh. milioni 16 zilikuwa zimepatikana huku milioni 7 kati ya hizo zikiwa zimechangwa na marafiki zao wa  jijini Dar es salaam kwa kazi hiyo.

Akizungumza na Majira  Jumapili mmoja ya watumishi wa
idara ya ujenzi aliyeomba kuhidhiwa jina lake  alisema kuwa kiasi hicho cha fedha kimemwezesha mgombea  wanayemtaka badala ya mwenyekiti huyo wa zamani Bw. Charles Ochele.

Aliongeza kuwa baada ya kukamilisha ukusanyaji wa michango hiyo kesho Jumatatu wanatarajia kumkabidhi mgombea huyo kwa ajili ya kufanyia kampeni ikiwa ni pamoja na kununua kura kutoka kwa baadhi ya madiwani ili kufanikisha ushindi huo.

Hato hivyo Bw. Ochele alipoulizwa endapo amepata taarifa hizo, alikiri kuambiwa mpango huo lakini alisema hajaweza kuwafahamu wahusika wa mpango huo pamoja na kuelezwa
kuwa ni watumishi wa halmashauri ya Rorya na baadhi ya wakandarasi wa kampuni za ujenzi.

“Niliambiwa juzi walikuwa Shirati wakiwa na kikao cha kukusanya fedha hizo za kuniangusha lakini wanajidanganya mimi ninaamini nitashinda na kamwe siwezi kuwakumbatia
wezi wa  mali za umma katika halmashauri yetu. Mwaka juzi zaidi ya milioni 400 za idara mbalimbali ikiwemo elimu zilitafunwa sasa kweli hawa ni wazalendo kwa
halmashari yetu sitavumilia wizi huu,”alisema Ochele.

Kwa upande wake mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Rorya Bw.  Ernest Basaya alidai kuwa bado hajapata taarifa kuhusu watumishi  wake kufanya mipango hiyo lakini alikiri kuwa inawezekana kwa vile mipango hiyo inafanywa kwa njia ya usiri mkubwa.

“Kwanza nilisikia Ochele atapita bila kupingwa lakini jana nimeambiwa kuna wanachama wengine kama watatu wamechukua fomu ya uenyekiti sasa mipango ya watumishi
wangu kutoa michango hiyo ndio kwanza nasikia taarifa hii lakini inawezekana kwa vile jambo kama hili ni la siri hata hivyo nipe muda nilifanyie uchunguzi,”alisema.

Aliongeza kuwa ni kosa kwa mtumishi kujiingiza katika kampeni za kisiasa kwa lengo la kutafuta viingozi wanaowataka kwa vile jambo hilo linaweza kusababisha mgogoro mkubwa kati ya madiwani na watumishi hao katika utendaji wao wa kazi.

Mbali na Bw. Ochele ambaye anatetea nafasi hiyo pia yumo
Yamo Bw. Odemba, Bw. Okeyo Ogingo, Bw. Ungujo Wakibara na Bw. Lukio Christopher wakati nafasi ya makamu mwenyekiti wa halmashauri ya Rorya aliyechukua fomu ni Bw. Albert Machiwa anayetetea nafasi hiyo.

10 comments:

  1. NAFIKI CCM INATAKA KULIPELEKA HILI TAIFA PABAYA NA HII AMANI TUNAYO JIVUNIA INAKARIBIA KUTOWEKA KABISA.HUYO DIWANI WA KATA YA NYAHONGO KILA MTU ANAMFAHAMU KUWA NI MFANYA BIASHARA WA CLEARING & FORWRDING NA OFISI ZAKE PAMOJA NA MAKAZI YAPO DAR-ES-SALAAM.SASA INAKUWAJI MTU AMBAYE MUDA MWINGI YUPO KWENYE BIASHARA ZAKE DAR-ES-SALAAM ANAKUWA DIWANI WA NYAHONGO TARIME.DIWANI NI MTU AMBAYE ANATAKIWA KUWA KARIBU NA WATU WAKE ILI WAPANGE MIKAKATI YA MAENDELEO.KABLA YA YOTE MTU HUYU HAKUWA NA SIFA ZA KUGOMBE UDIWANI KUTOKANA NA ELIMU YAKE KUWA NDOGO SANA NA INASEMEKANA ALIIBA KURA KWA KUHONGA NA ALIPATA SAPOTI KUBWA KUTOKA CCM.NACHOTAKA KUWAAMBI CCM NI KWAMBA WATANZANIA TUMEBADILIKA NAKAMA HAMTA BADILI MFUMO WENU WAUONGOZI MTASABABISHA AMANI YA NCHI HII IPOTEE KABISA

    ReplyDelete
  2. HUYO CHRISTOPHER LUKIO AMBAYE AMEPATA UDIWANI WA KATA YA NYAHONGO TUNAMFAHAMU NI MFANYA BIASHARA WA CLEARING & FORWARDING NA MUDA WOTE YUPO DAR-ES-SALAAM KWENYE BIASHARA ZAKE.INASHANGAZA DIWANI WA NYAHONGO KUISHI DAR-ES-SALAAM.PILI MTU TAPELI ANAJULIKANA DAR-ES-SALAAM KOTE.KWA KWELI CCM MNACHEMSHA

    ReplyDelete
  3. CHRISTOPHER LUKIO AMBOGO AMBAYE TUNASIKIA ANATAKA KUGOMBEA UWENYEKITI WA ALMASHAURI HAFAI KUWA DIWANI WA KATA YA NYAHONGO WALA MWENYEKITI WA ALMASHAURI. HUYO NI MFANYABIASHARA NA NI TAPELI KILA MTU ANAMFAHAMU. CCM HATA KAMA MNATAKA KUMBEBA MTU WENU ANGALAU MCHAGUE ANAYE STAHILI...

    ReplyDelete
  4. Christopher Lukio Ambogo ni mfanya biashara anayemiliki kampuni ya clearing and forwading Ijulikanayo kama Saragire Commercial na Shirati Logistics zote zikiwa Dar-es-salaam pamoja na makazi yake binafsi. Ni ajabu sana kusikia ameteuliwa kuwa diwani wa kata ya Nyahongo kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM na kwa sasa anagombea uwenyekiti wa almashauri ya Rorya. Kimsingi diwani ni mtu anayetakiwa kuwa karibu na watu wake ili kupanga mikakati ya maendeleo. Lakini cha ajabu ni kwamba huyu mtu muda mwingi anautumia akiwa kwenye biashara zake Dar-es-salaam.Ukweli ni kwamba huyu mtu hakuwa na sifa za kuwa diwani UKIANZIA KIWANGO CHAKE CHA ELIMU lakini aliiba kura kwa rushwa na alipata sapoti kubwa kutoka chama cha CCM.Maoni yangu ni kwamba CCM iangalie sana inavyoendesha siasa zake kwani ndio zitakuwa chanzo kikubwa cha uvunjifu wa amani hapa nchini.

    ReplyDelete
  5. Lameck Airo ni rafiki wa karibu sana wa Christopher Lukio Ambogo tunawaona kila mara Dar-es-salaam kwa hiyo kupinga majina ya kwenye kinyang'anyiro cha uwenyekiti wa almashauri ni unafiki mtupu. Lameck anapendelea sana Lukio awe mwenyekiti wa almashauri ya Rorya.

    ReplyDelete
  6. Ni aibu sana na kitendo cha kinyama kwa Mtu kama Christopher Lukio kugundulika ana UKIMWI na anaueneza kwa makusudi.Kuna taarifa za uhakika zilizothibitishwa kuwa anaeneza ugonjwa huo kwa makusudi hususan kwa wasichana wa mapokezi maofisini au kwa kingereza receiptionists kwa kujua kwamba kipato chao ni kidogo na hivyo ni rahisi kushawishika.Hicho ni kitendo cha kinyama kwani kumuambukiza mwenzio ukimwi ni sawa na mauaji. Naomba sheria ya kudhibiti maambukizi ya ukimwi isimamiwe kikamilifu ili kunusuru kizazi na watu wenye roho mbaya kama hawa.

    ReplyDelete
  7. Wuod Ambogo jogo obedo ni marach achana na siasa fanya mambo yako Dar unakumbuka bado unawabaya wengi kuanzia Kigoma Dar na Shirati?.

    ReplyDelete
  8. Kukaa Dar na kuwa diwani Nyahongo si taabu bora una uwezo wa kuamia huko.
    Ndio Maana timu ya kina Lameck airo ilikutana na Peter Owino Mwanza mwaka jana kumshawishi arudi agombee Mkoma na huyo Peter Owino anakaa London uingereza.
    Ambogo umefanya vibaya kujiuzulu Udiwani itaonekana una tamaa ukikosa cheo unasusa.
    Usijiloge kutoka CCm wakauuwa kwa kukutia umasikini. hata safari zako za dubai hutakwenda.

    Jamdenyo

    ReplyDelete
  9. Mimi namshauri ndugu yangu Lukio aishi kwa matumaini angoje siku mungu atakapo mchukua kwa ukimwi na aache kabisa tabia ya kuambukiza kwa makusudi kwani kufanya hivyo ni vibaya sana sawasawa na mauaji ukizingatia anafahamu fika kuwa yeye ni muathrika wa Ukimwi. Pili namshauri aachane na siasa kwani biashara na siasa ni vitu viwili tofauti na wahenga walisem msika mbili moja huponyoka. Nakutakia kila la kheri...

    ReplyDelete
  10. Kilicho mponza bwana Christopher Lukio kuukwaa UKIMWI ni GOVI au MKONO WA SWETA si unajua tena ndugu zetu WAJALUO hawatahiriwi.. jamani elimikeni....

    ReplyDelete