Na Rehema Mohamed
MAHA KAMAyaHakimuMk azi Kisutuimemtia
ha tiani wak alawampiraw amiguuwaFCL umpopokutok an chini Ko ng oIsmail Banduk
a, baada yakukir i k utendamakosamatatul ikiw emolakuishi nchini bila yak
ibali.Wakalah uy oalikuja nchini kwa ajili
yak ufanyamaz ungumzonakipawa zamani waSimba Ju ma Kasejailiakaichezee timu ya
FC Lupopo ya Kongo
.Wakalahuyoj anaa lif ikishwa mahakama
ni hapo mbe leyaHakimuHellenLiwa,a mbap ow akili waserikali kutoka Idaray
aUhamiaji PatrickN gayomela alimsomea mashtak ayake.Akisomama shta kaha yo, Ngayomela al
idaikuwakat ikakosala kwan zaBanduk aana daiwakuwa Agosti7, mwakah uukatika
eneolaM agomeniKond oaakiw araiawa Kongo ali kutwaak iishinc hini bila yaki
bali.
Katik ashtaka la pili ilidaiwa kuwa,
mshtakiwahu yoalimdang anyaofisauhamiaji w amp aka waTund uma kwamba anaing
ianc hinikwaajili ya matembezihu kuaki jua k uwaana ingiakama wakala wa mpira
wamiguu .
Il i daiwakati kash takala tatutarehe
hiyohiy o,alikut waaki jihusis hana kaz iyauw akala wampirawa miguub ila
yakuwanakibali .B aadaya kusomewa mashtaka hayo, m
shtakiwahuyoalikiri kutendamakosa hayo na ma hakamailimtia ha tian i.
Kablayakusomewa adhabu, Hakim uLiwaal
imtakaBanduka aililiema hakam aili isimp e adhabukubwa ambap oaliomba
apeweadhabundogokw asababuhakuwa anajuashe riazauham iaji nch ini.Alise makuw a yeyealiingianchini kw a
kutu mi akibali chaShi rikisholaMpirawaM iguuD uni ani(FIFA) ambachokinamruhusu
kufanya kazi duniani k ote.
"Naombamsamah a, s itarudiakufanya
kosa hili tena,sikunyingine niki jaTanzan ianitaombakibali hatachabi asharaili
niweze ku fanyakazi yangu,"a lidai.Hatahivyo Hakimu Liwa alimuel
ezamshta kiwah uy okuwakutojuashe ria siosabab uyaku tenda mak osana k umpaad
habu yakif ungochami ezimitat ujelakw akila kosa aukulipa fainiy
ash.150,000kwama kosam atat ua liyotenda. Mshtakiwa amelipa faini.
No comments:
Post a Comment