Grace Ndossa na David John
SERIKALI imesema mtandao wa majangili
wanaoua tembo mkubwa wenye watu walio na uwezo kifedha ambapo wapo ndani na nje
ya nchi .Siri hiyo
ilifichuliwa Dar es Salaam jana na Waziri wa Mali Asili na Utalii, Balozi
Khamis Kagasheki, wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kukutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii
.Alisema tayari
Serikali ina majina ya mtandao unaojihusisha na biashara ya ujangili wa meno ya
tembo na baadhi yao wapo pia wafanyabiashara wakubwa waliopo ndani na nje ya
nchi."Tayari
majina tunayo ya mtandao wa watu wanaojishughulisha na ujangili wa meno ya
tembo huu ni mkubwa ambao una pesa nyingi, hauna tofauti na ule wa dawa za
kulevya,"alisema
A l i s e m a s
i o k w a m b a wameshindwa kufanya kazi bali wanaendelea kupatataari fa
nawameandaa operes heniuhai itakayosak aw alewo teambao wanahusikan aujang
ilihuo .Alionge
zakuwawanaen delea kufuatilianch i inay onunuamenohayo am baponch i zili
zopoBarala Asianimiongo nimwazinaz ohusi kanabiashar ahiy o.Ali sema siorahisi
ku shindav itahi yokwaku tumiavyombovya habar i.
"Mnaj uah
ii nivita kubwa na niwaamb iekuwavita hiihuw ezi kushindakw a kutu miav yom
bovyahabari, hiv yoWatanzan iakuweninaamaninatun ajitahidiku hakikis ha
tunamaliz atatiz ohili,"alis ema.Katikah atuan
yingi ne,alisema mfumowademokrasia uliopounacha ngia kurudishanyuma jitihada
mbalimbali zinazofanywa, kwani watu wakikamatwa na kupelekwa mahakamani kesho
yake wanaonekana mtaani.
Alisema
wanaobainika kufanya biashara hiyo ya ujangili hata Polisi wamo na wengine
wameshafukuzwa kazi na wengine kusimamishwa, hivyo hizo zote ni jitihada za
Wizara yake.Naye Mwenyekiti
wa kamati hiyo John Lembei alisema kuwa kamati yake imeiomba Serikali kuondoa
kodi ya asilimia tatu ambayo ilipitishwa na bunge kwa ajili ya mfuko wa
maendeleo ya utalii na asilimia kumi ambayo yalikuwa yanawasilishwa Serikalini
kwani inachangia kuondoa huduma za jamii zilizokuwa zikitolewa kwenye jamii
inayozunguka hifadhi hizo.
Alisema kamati
imeomba serikali kama kweli wanataka kuendeleza sekta ya utalii basi kodi hiyo
ifutwe vinginevyo hifadhi hazitakuwa salama na ujangili utaongezeka kwa kiasi
kikubwa."Hifadhi
hizi za TANAPA na ngorongoro ilikuwa miradi ya kusaidia jamii inayowazunguka kwa
kuwajengea shule, hospitali, maji, pamoja na huduma zinginezo hivyo kutokana na
bunge kupitisha kodi hiyo wameondoa huduma hizo,"alisema Lembei.
No comments:
Post a Comment