13 August 2013

HATARI

Utingo wa daladala akiudhibiti mkokoteni usianguke wakati akiupakia juu ya basi linalosafiri kati ya Mnazi Mmoja na Tabata, kama alivyokutwa kwenye Kituo cha Mtaa wa Kongo Kariakoo, Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment