NaGladne
ssTheonest aliy ekuwaBu koba
HALMASHAURI
yaMjiwa Bukoba hainama gari yama jitak akwa ta kribani miaka16nah
ivyokulazimika kutumi amag ari yawa tubi nafsi katikak utoahudum ahi
yokwawananchi.Akizungumza na Majira hivi
karibuni K aim uAfisaAfyawa ManispaayaBu koba, Swau muMsofealise ma kuwa Manisp
aa imeshi ndwakununuamagariyamajitaka kw akipind i hich ochotekutok ananam
agarihayoku uzwa kwa gharama kubwa ambapo gari moja linauzwa kiasi cha
sh.milioni 900
.Alisem ak uwakutokana nagharamahiz
okuwa kubwa mwaka 2008,M anis paaililazi mikakutoa zabun ikwakam punibina fsi
zaRwab izin aMu kwano amb azok ilamojaina g arimojak waajil iya kusai dia k
utoahudumayaunyonyaji majitakakwa wananc hi.
“Tumesh indwaku nu nuagari la majitakakutoka nanagha ramazaunu nuziwagari hilokuwa ku bwandio ma anailitul azimukutumiaka mpunibin afs i iliziwezekutusaid iakwaaj iliyauto aji wa hud umahiyokwawan anchiwa mji waBuko ba,” alise maMsofe .Kai muAfisaA fyahuyoa lisemakuwaMa nispa ainaj ipang akatika ununuziwag arilamajitakalakini haijajuli kan ani li ni wa tatek elezasualahilo.
Aid ha, kwa upande mwingine Ms ofealise makuwapa moja nakuw epokwa maga rihayolakinibado wakaziwaBukobawamek uwahawayat umi i magari hayonabad ala yak ewamekuwawakit irir ishakinyesizi wani kupitia mto Kano ni.
Majirailizungumza na baadhi yawan anchi ambapoha wakutakama jinayaoyaandik wegazetini ambapowalisema wamek uwa hawatum ii magariy a majitakaya kampuni hizo kutokana na kuwalipisha gharama kubwa ambazo wamekuwa wanashindwa kuzimudu.
Mwandishi wa habari hii aliwasiliana kwa njia ya
simu na mmoja wa madereva katika kampuni ya Rwabizi ambaye hakutaka jina lake
litajwe gazetini alisema kuwa hivi sasa mji huo una gari moja tu na lingine
lilienda Kahama.
Kwa siku Mji wa Bukoba unazalisha lita 232,876.7 za
maji taka jambo ambalo linaonyesha kuwa magari hayo hata kama yangekuwapo yote
mawili hayawezi kukidhi mahitaji ya mji mzima.
No comments:
Post a Comment