24 May 2013

Mtwara sasa ulinzi mkali

Na Waandishi Wetu


 SERIKALI imeapa kuwasaka watu wote walioshiriki kupanga njama na kushawishi vurugu zilizotokea juzi mkoani Mtwara ili wafikishwe katika vyombo vya sheria.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyasema hayo bungeni Mjini Do domajan a wa katiak itoa tamkolaSerika likwaniab ayaWaziri Mkuu, Bw. MizengoPind a.
Alisemawanaofa nyavurugu hizo, nyumayaokun awatuhiv yoSerikali itaha kiki shain awasa kana kuwakamata iwendani aun je ya Tanzania ambapo hadisas awatu91wamekam atwa.
A liongezakuwa, Serikali imetoa ufafanuzi wa kina juuyagesi asilia kusafirishwakutoka m ko anihumohadiDaresSalaam, k uelezeaj insi itaka vyo wa nufaishawakaz iwaMtwarana Watanzania wote kwa ujumla.
“Was aliti wa nch i hiiwanatambuafaidaambazozit apatikana hivyo
wanatumiaf ursahiyokutuga wa...tuwakata ekwa kauli mojakwaniTaif aletun imojanakinac hopatik anam aha lip opote ni kwamasilahi yaWatan zania wote.
“S erikali inafa hamuwatuwasionanianjem aw anatumiara ia wetu, wa nas iasana vikundi vy awahunikutakaku lip elek aTa ifakatika mapiga nonavitav yakug ombeamali...h akunara silimali yamtu, lazimatuchuk uehatua,”ali semaDkt.Nchimb i.
Al iwatakaWatanzania watambue ku wa, baad hiyav yamavyasiasanaasasi zaki raia ,wanaf anya kazi kwamasilahi yao hivyo waepuke ucho chezi.
Dkt. Nchimbia lisema, Serikali imesikitishwa na vuruguambazozimef any wanawana nchi mk oani humonakus aba bishakifochamtummojaa liyefaha mi kakwajinalaKarimu Shaibunaas kari wan ne wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi waTanzania(JWTZ ), ambao damu zao hazitamw agikabure.
Alio nge zakuw a, katikatu kiohiloMkuuwaMk oahuo, Kana limst aafu JosephS imbakal ia, a lilazimikakuomb amsaadawaaskari ili kui marishauli nzi amba po Waziri waUlinzi naJeshi laKujengaTaifa, Bw. Sham siV uaiNa hodha, alitoaaskari 32wa JWT ZkutokaNachingweak wend aM twara.
“Walipofik aeneola Kilimahewa, walipataajalin awanajes hi wanne kufariki duni aa mbapowenginewalijeruhi wa, nawapo ngeza askari wachachewaliofanyakazikubwakatikam azingi ra mag umuili kutuliz avuruguhizo,”alise maDkt. Nchimbi.
Alisemav u r u g u h i z o zilisababis hwanavipe perushi vilivyoanzakusa mb azwamkoanihumoMe i15,mwakahuu ambavyoviliku wav iki hamasis haw ananchi kusi tisha huduma Mei 17 , m wakahuuili wasikilizeHotubayaBajeti yaWizarayaNish atinaMad ini.
W ananc hi haowa lit akakujua hatimay agesi asilia i liyopatikana mkoan ih umokamainatoka auhaito kiambaposi kuhiyo, hotubahiyoha ikusomw aam bapobaadhi yahudumazil isitishwa .
A lionge zakuwa,hotuba ya Wizarahiyoilisomwa Mei22, mwaka huu ambapoujum bemw ingin eulisambaz wakwanjiayasimup amoja navip eper ushi kuhamasis hanahati maye wananchi walianzavu ru gukwakufungabarabara nam agogo, mawe na kuchomamot omatairi.
“ Madharay a v uruguh izi,Ofisi yaMbunge waCCM Mt warailichomwa mo to, ny umbayamwandishiwahabariwa TB C, Bw. KasimM ikongoro , ambapoOfisi ya Ka taMtaa waGezaulole naMajengo zilivunjwa na mali kuh aribiwa.
“OfisiyaMaha kama yaMwanzonayo ilic ho mwamotona nyaraka zotekupoteanathamaniyavituviliv yoharib iwa havijaj ulik ana gharama za kehad isasa, ”alis ema.
Baadayaku toata mkoh ilo,Spika waBunge,B i.Ann eMa kin da, alil iahirisha Bu ngeh adileoiliku ipa naf asiKama tiyaUongozi yaBungekuk utanaili kuj adili kwakinasuala hilo .
“K utokanana hali iliyotokea Mtwar a, naa hir ishaBungehadi kesho(leo),ilikuip a nafa si yaKamati ya Uon gozi yaBungeijadili kwakinasualahil i kwani wabungewak iendele akuchan giawatachoc heamoto,”a lisemaBi. Makind ana kuongezakuwa,leoBungeh ilolitajadili Bajeti ya Afrika Mashariki.
Hali ya Mtwara
Hali ya usalamamkoa niM twaraimeanzakudhibi tiwana vikosi vyaul inzinausa lamalakini kati kamae neo yaMka naredinaMagomen i,baadhi ya vijana wa lipambanana polisi.
Kutokan a nah alih iyo, baadhiya wakazi waMko ahuo wamelazimi kakukimbiam akaz iyaoambapomwandish iwetua liwa shuhudia baadhi yawanawa kewakiwana watotowa changa,wa kijikusan yakwenyemaeneoya Nar wendelewakisub iri usafiri kwendaNewala, Masasina Tanda himba.
Jeshi laPolisililiimarisha ulinzi katikam ita ambalim bali nakufan yamsako wany umbahadiny umbaili kuwasaka vijana waliohusika na vurugu.
Wakati msako huo ukiendelea, n y umb a z i s i z o p u n g u a 1 0 zimechomwa moto katika Mtaa wa Mkanaredi ambapo matukio ya uporaji wananchi nayo yameshika kasi. Katika Mitaa ya Bima, Shangani, Chikonga na Raha Leo, hakukuwa na shughuli za kibiashara kama ilivyokuwa awali ambapo katika maeneo ya Majengo na Namdenga, mapambano dhidi ya polisi na wananchi yaliibuka upya jana mchana.
Barabara ya Lindi-Mtwara, hali ilikuwa shwari baada ya wanajeshi wa JWTZ kuimarisha ulinzi na kuondoa vizuizi vyote vilivyokuwa vimewekwa kwenye barabara hiyo.
Katika Daraja la Mikindani ambalo wananchi walitaka kulivunja ili kukata mawasiliano kati ya Lindi na Mtwara, lilisalimika kutokana na ulinzi kuimarishwa.
Barabara ya Mtwara-Mikindani bado kulikuwa kumetegwa vitu vyenye ncha kali ili kuzuia magari ya polisi yasipite kwenda kukabiliana na wananchi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa Ligula, Dkt. Sadun Kabuma, alisema kulikuwa na majeruhi 16, kati yao wanawake wawili, askari mmoja na waliobaki ni wanaume.
Abiria wengi waliokuwa wakitoka Dar es Salaam kwenda Mtwara, bado waliendelea kukwama mkoani Lindi, huku abiria wachache ndiyo waliofanikiwa kuingia mkoani humo wakitumia gari la jeshi chini ya ulinzi mkali.
Katika hatua nyingine, Mkoa wa Lindi umekumbwa na giza baada ya watu wasiojulikana kukata nguzo tano za umeme zilizopo katika mpaka wa Lindi na Mtwara eneo la Madamba.
Hali hiyo inatokana na kile wameshindwa kuungana na wenzao wa Mtwara kushinikiza madai yao ya kupinga gesi asilia isisafirishwe.
Gazeti hili lilimtafuta Kamanda wa Polisi mkoani Lindi, George Mwakalinga ili kuzungumzia hali hiyo lakini alishindwa kuzungumza kwa sababu alikuwa akitembelea majeruhi hospitali.
Ime a n d i kwa n a Ma r i a m Mziwanda, Grace Ndos sa, Cornely Anthony na Goodluck Hongo.

No comments:

Post a Comment