04 March 2013

MVUA


Gari lenye namba T 450 AFK likipita katika maji yaliyotuama katikati ya Barabara ya Uhuru, mtaa wa Kongo ambapo maji hayo yametokana na mvua zilizonyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment