20 February 2013

UCHAFU


Wafanyabiashara ndogondogo wakiwa wamepanga bidhaa zao  karibu na jalala la takataka nje ya Soko Kuu la Kariakoo Dar es Salaam jana. Tabia hii isipodhibitiwa inaweza kuhatarisha afya za walaji. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment