12 February 2013

NMB MSAADA


Meneja wa Benki wa NMB, Tawi la NMB House Benedictor Byabato (kushoto), akimkabidhi sehemu ya madawati 25 yenye thamani ya sh. Milioni 5, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani, Bw. Method Rugambarara. Dar es Salaam jana, ikiwa ni mchango wa benki hiyo kupunguza uhaba wa wa madawati katika shule hiyo. (Picha na NMB)

No comments:

Post a Comment