Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,Bw. John Mnyika akihutubia wananchi katika Mkutano wa Chama hicho juu ya kukataliwa kusomwa kwa hoja yake binafsi ya maji bungeni,katika uwanja wa Temeke mwisho Dar es Salaam jana.(Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment