08 February 2013

MAHELA


Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto), akimkabidhi sh. milioni 5, Ofisa wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Bi. Liberata Kaligita baada ya kujishindia katika Promosheni ya 'MAHELA'. Katikati ni Ofisa
wa Polisi, Bw. Bethuel Sumari. Zaidi ya sh. milioni 400 zinaendelea kushindaniwa katika promosheni hiyo.
(Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment