27 February 2013

CHETIMkurugenzi wa Taasisi Huru ya Superbrands kwa Ukanda wa Afrika Mashariki, Bw. Jawad Jaffer (kushoto), akimkabidhi Meneja Masoko wa Benki ya NMB, Bw. Imani Kajura, Cheti cha Kimataifa cha kutambua ubora wa huduma zinazotolewa na taasisi za fedha na kampuni  zilizofanya vizuri nchini kwa mwaka 2013-2014, Dar es Salaam jana. (Picha na Spear Patrick)

No comments:

Post a Comment